Burudani

Harmonize amuimbia Samatta jukwaani, Aahidi kuachia nyimbo mbili siku hii – Video

Harmonize amuimbia Samatta jukwaani, Aahidi kuachia nyimbo mbili siku hii - Video

Wakati @harmonize_tz akifanya show TEGETA alijitokeza kijana na kupanda jukwaani bila walinzi kuona na kwenda kumkumbatia HARMONIZE
Baada ya muda alishushwa chini na @harmonize_tz kumwambia meneja wake achukue namba yake kwa ajili ya kumuuliza ana shida gani.

Mbali na hilo Harmonize alitumia nafasi hiyo kumuimbia Samatta ju7kwaani pamoja na mashabiki waliofurika Tegeta.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents