Bongo5 ExclusivesBongo5 MakalaBurudaniDiamond Platnumz
Harmonize ashindwa kujizuia juu ya Diamond Platnumz (Video)
![](https://bongo5.com/wp-content/uploads/2024/06/Screenshot-2024-06-21-at-10.25.20.png)
Staa wa Muziki wa Bongo Fleva Harmonize amempongeza Diamond wimbo wake kuchezwa na Chris Brown adai ina faida kubwa sana Tanzania
Anasema kuwa kitendo hicho kina faida kubwa sana sio tu kwa Diamond bali kwa muziki wa Bongo Fleva kwa ujumla.
Anasema hayo ni matunda ya uwekezaji, haijaja kwa bahati mbaya bali amewekeza kwenye Promo na kwenye Quality ya muziki wake.
Kuangalia Video kamili bonyeza link hapa chini: