Michezo
Hispania, Ujerumani kukutana robo fainali
![](https://bongo5.com/wp-content/uploads/2024/06/Screenshot-2024-06-26-at-13.28.48.png)
Kwa kuwa Hispania ameongoza kundi atacheza 16 bora na mshindi wa tatu wa kundi A,B,E. au F endapo atashinda mechi hiyo ataenda moja kwa moja robo fainali.
Ujerumani yeye pia ameongoza kundi lake na mechi ya 16 bora atacheza na Denmark kama atashinda mechi hiyo basi Robo fainali atacheza na Spain.
July 5, 2024 itakuwa Robo ya kwanza (Spain VS Germany)