Habari

Hizi ndege nimenunua, utashangaa akija mwingine anauza kwa laki mbili – Rais Magufuli (+video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amesema kuwa Serikali yake imejitahidi kununua ndege za kisasa, lakini sio jambo la kushangaa endapo viongozi wengine wajao wataziuza kwani hata kipindicha nyuma Baba wa Taifa alinunua na hapa katikati ndege zikapotea.

Rais Magufuli ameyasema hayo leo Jumapili Desemba 23, 2018 kwenye upokeaji wa ndege mpya ya Airbus A220-300 katika Uwanja wa Ndege wa Mwl. Nyerere Dar Es Salaam.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents