Burudani

Jay Z na Kanye West kumaliza ‘bifu’ lao

Marapper wawili Jay Z na Kanye ambao walikuwa washikaji wakubwa kabla ya kutibuana miezi michache iliyopita wamekubaliana kukutani ilikuweza kumaliza tofauti zao.

Kikao cha kumaliza tofauti zao kinatarajiwa kufanyika muda wowote kuanzia sasa ilikumaliza mgogoro wao ambao ulitokana na madai ya kiasi cha dola milioni 3.5 ambazo Kanye alikuwa akiidai kampuni ya Tidal ya Jay Z.

Chanzo cha karibu kimeuleza mtandao wa TMZ, kuwa wawili hao wanatarajia kukutana na jambo linalohusu pesa kwao ni kitu kidogo.

“The Generals [Kanye and Jay] have to meet face-to-face. When that happens, the resolving the money dispute is a piece of cake,” kimeeleza chanzo hicho.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents