Burudani

John Legend kukinukisha April Mosi

Msanii wa muziki John Legend anatarajiwa kutoa burudani katika tamasha la “Jesus Christ Superstar Live in Concert.” litakalo rushwa mubashara na kituo cha NBC.

Kwa mujibu wa mtandao wa Us Weekly, mshindi huyo wa tuzo ya Grammy, Oscar pamoja na Tony, anatarajiwa kutoa burudani hiyo katika siku ya Jumapili ya Pasaka ifikapo Aprili, Mosi mwaka huu.

Baada ya kutajwa katika orodha hiyo John aliwashukuru waandaji wa tamasha hilo kwa kumpatia nafasi.

“I’m thrilled to join the cast of this production of Jesus Christ Superstar Live in Concert. It’s such a powerful, meaningful musical and I’m humbled to be part of this performance. We’ve already formed an incredible team, and, as we finish casting, I’m certain we will put together some of the greatest talents around to do this work justice.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents