Habari

Jokate Mwegelo atumbuliwa UVCCM

Kamati ya Utekelezaji ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) imetengua uteuzi wa aliyekuwa Kaimu Katibu wa Hamasa na Chipukizi wa umoja huo, Jokate Mwegelo kuanzia leo Jumapili 25/03/2018.

Jokate Mwegelo

Kamati hiyo iliyokutana kwa dharura mchana wa leo mjini Dodoma iliongozwa na Mwenyekiti wa umoja huo Ndg. Kheri Denis James imesema kuwa nafasi ya Jokate itajazwa hapo baadaye.

JokateĀ  aliteuliwa na Jumuiya ya Vijana ya Chama cha Mapinduzi mnamo Aprili 25, 2017 kuwa Kaimu Katibu Hamasa na Chipukizi wa jumuiya hiyo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents