BurudaniMuziki

Kampuni ya kwanza kumuamini Babalevo yaanzisha Ligi ya Mafundi wa Ujenzi

Magic Builders wamekuja na ligi ya mafundi wa ujenzi ambayo inafanyika Uwanja wa Kinesi Ligi hiyo ambayo inalenga kuwakutanisha wadau mbalimbali wa ujenzi kwa sasa ipo hatua ya nusu fainali akizungumza na vyombo vya habari mwakilishi wa Magic Builders amesema kuwa wanatamani kuifanya ligi hiyo iwe ligi ya Taifa ambayo itakutanisha wadau wa Ujenzi.

Akiongea na Bongo5 Muwakilishi wa kampuni ya kuuza vifaa vya Ujenzi.

Magic Builders International David Balongo ameeleza kwa urefu sababu za kuanzisha Ligi hiyo lakini akisema wao ndio kampuni ya kwanza kumpa Baba Levo mkataba wa kumuamini.

 

Mahojiano yote yapo kwenye akaunti yetu ya Youtube ya Bongofive.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents