Michezo
Kapombe alamba donge nono Simba
![](https://bongo5.com/wp-content/uploads/2024/06/kaaaaaaaaapombeee.jpg)
Simba imemuongezea mkataba wa mwaka mmoja beki wake wa kulia shomari kapombe ambao ndani yake una kipengele cha akifanya vizuri ataongezewa mwingine.