Katy Perry azitosa dola milioni 20 za American Idol

Kama Katy Perry angesema “Yes” kwa American Idol angelipwa pesa nyingi kumzidi hata Mariah Carey. Chanzo kimoja kimeuambia mtandao wa Us Weekly kuwa watayarishaji wa show hiyo walikuwa na hamu ya kumpata muimbaji huyo mwenye miaka 27 kujiunga na panel ya majaji na kumpa dau la dola milioni 20 kwa mwaka. Bahati mbaya ni kuwa … Continue reading Katy Perry azitosa dola milioni 20 za American Idol