Burudani

Kinachowakuta mastaa wa Bongo cha mkuta Don Jazzy

Mastaa wa Bongo kama Jackline Wolper, Babu Tale, Beka Flavour na wengineo wameshajikuta katika wakati mgumu baada ya watu kutumia majina yao katika mitandao hasa wa Faceboo kutapeli watu. Hii pia imekuta C.E.O  wa Mavin Record, Don Jazzy baada ya mtu asiyejulikana kutumia jina la mkali huyo vibaya katika mtando wa kijamii wa Facebook kwa kuatakla kutapeli wati.

Mtu huyo ametumia jina la makali huyo kutoka Nigeria katika mtandao  huo, akiwaka watu wa-share na ku-like page yake kisha atao zawadi ya Chrismass, hata hivyo Don Jazzy ameikana akaunti hiyo  kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram na kuwa tahadharisha mashabiki zake kuwa makini na watu hao.

“My people. This is not me on Facebook oooo. Pls be careful out there guys. And to the guys impersonating people and collecting money from people on social media. Everyday is for the thief and one day is for the owner o. The day we go catch u ehn. It’s all over Jackie. Don’t cry don’t beg o. 🚶🏼🚶🏼”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents