Burudani

Emmanuel Mbasha amfunda Walter Chilambo namna ya kuilinda ndoa yake (+video)

Msanii wa nyimbo za Injili na Muigizaji wa filamu, Emmanuel Mbasha amempa ushauri msanii mwenzie wa Gospel, Walter Chilambo juu ya maisha ya ndoa.

Emmanuel Mbasha ambaye miaka mitatu mfululizo iliyopita alikuwa na matatizo na aliyekuwa mke wake wa ndoa Flora Mbasha, amesema kuwa Walter ni mtu maarufu na vyema akawa muaminifu ili kuilinda ndoa yao.

Walter Chilambo amefunga ndoa mwezi Aprili mwaka huu na aliyekuwa mchumba wake wa muda mrefu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents