Burudani

Maisha ya Chid Benz ndio haya kwa sasa, aanzisha biashara ya mkaa, ana nyumba na Mke (+ Video)

Msanii na mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva Chid Benz ameamua kuionyesha nyumba yake mpya na kuonyesha kwa mara ya kwanza mradi wake ambao ni wa kuchoma mkaa, lakini pia amuomba Mh. Rais Magufuli mambo kadhaa:-

hapa akionyesha nyumba yake.
Hapa alionyesha mradi wake.
Hapa mke wake aliongea na Chid Benz kutoa shukrani zake

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents