Michezo

Maneno ya Bruno baada ya kuongeza mkataba United mpaka 2026

Kiungo wa Manchester United Bruno Fernandes amesaini mkataba wa mwaka mmoja wa kuendela kuichezea klabu hiyo na mkataba huu utamalizika mwaka 2026 na una kipingele cha kuongeza mwaka mmoja zaidi.

 

Haya ndio yalikuwa maneno yake.

“Kuna mengi zaidi nataka kufanya nikiwa hapa na ni vivyo hivyo kwa wachezaji wote na wafanyikazi wengine. Zaidi ya yote, tunataka kuwapa mashabiki mafanikio wanayostahili, tumekuwa pamoja katika nyakati nyingi za furaha, lakini mambo mazuri zaidi yanakuja kutoka kwangu na kwa timu kwa ujumla.” 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents