Michezo
Mbappe na Ronaldo kukutana Robo Fainali
![](https://bongo5.com/wp-content/uploads/2024/06/Screenshot-2024-06-26-at-13.18.54.png)
Mataifa mengine makubwa ambayo yanaweza kukutana kwenye Robo Fainal ni Portugal dhidi ya Ufaransa.
Ufaransa amepita kwenye kundi lake na atacheza 16 bora na mshindi wa pili wa kundi E kama atashinda basi atafuzu Robo fainali.
Ureno pia ameongoza kundi lake a 16 bora anamsubiria mshindi wa tatu kati ya kundi A,B,C kama atashinda atacheza Robo fainali na Ufaransa.
Hii ni mechi kubwa katika hatua ya mtoano kama kila kitu kitaenda kama inavyodhaniwa.