Michezo
Mimi napendekeza Jobe aje Jangwani – Ali Kamwe
“Engineer kasema usajili mwingine atawaachia mashabiki na mimi nimempendekeza Jobe, Jobe ni Haaland mtupu mikimbio yake, movement, midondoko yake ujue Jobe ana midondoko anakimbia kwa midondoko hajawahi tu kutumika vizuri.
“Jobe anazingatia muda ana mikimbio na midondoko, kwanza nimesikia amesusa akaondoka nimelia sana mimi nimemwambia Engineer atuletee Jobe,” Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga Sc, Ally Kamwe.
Imeandikwa na Mbanga B.
cc:Mpenja Tv