Burudani

Mjue James Bond Mpya

Mwigizaji wa filamu Aaron Taylor Johnson anatarajiwa kuchukua afasi ya Daniel Craig kuwa James Bond wa saba, jasusi wa upelelezi anayetambulika kwa samba 007 kwenye shiriki la kijasusi la MI6 la nchini Uingereza.

Jina la Aaron Taylor-Johnson ndilo limepamba kwenye vyombo vya habari vya Uingereza, tofsuti ns msjins mengine likiwemo la Mwingereza mweusi Damson Idris (32), aliyeigiza filamu za Snowfall na Black Mirror. Tangu filamu za James Bond zianze zaidi ya maka 50 iliyopita hakujawahi kuwa na James Bond mweusi.

Kwa Mujibu wa vyombo via habari via Uingereza, Taylor Johnson atasaini mkataba wiki hii wa kuanza jukumu la James Bond mpya, akiigiza kama jasusi mwenye namba ya utambulisho 007.

Taylor Johnson ambaye ni wa Filamu za Kick-Ass, ametajwa kuwa ndiye anayeweza kuwa James Bond wa saba, baada ya Craig ambaye amekuwa mpelelezi maarufu kwenye filamu hizo kwa miaka mingi akitumia namba ya utambulisho ya 007.

Craig (56) ameacha jukumu la kucheza kama James Bond mwaka 2021 baada ya kuigiza filomu tano kwa zaidi ya miaka na filomu yeke ya mwisho ni “NO TIME TO DIE’.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Imeandikwa na Mbanga B.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents