Habari

Mwamposa: Shetani alikuwa Mwandishi, wanaoandika habari mbaya wapo upande wa shetani

Mtumishi huyo Boniphace Mwamposa ameyaongea hayo Leo wakati Taasisi ya wananchi Wazalendo Tanzania (TWWT) ilipozindukiwa.

Mwamposa ameweza kuzungumza hayo kwa kuwaomba waandishi wa habari kuwa wanaandika habari za Kizalendo zaidi na sio za kulichafua taifa lao.

TWWT imeanza na #SENSA kwa kuhamasisha kupitia video mbalimbali huku ikiwakumbusha watanzania umuhimu na maana ya sensa ya tarehe 23-8-2022. uzalendo unaanza na wewe hivyo kuwa mzalendo ili kuleta maendeleo ya Taifa letu la Tanzania.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents