Bongo5 ExclusivesBurudaniHabari

Mwijaku amshauri Marioo, Diamond atakuharibia

Kupitia kipindi cha Recap na Mando @el_mando_tz amefanya mahojiano na Baba levo akiwa Dubai na kufunguka A-Z sakata zima la Marioo alivyomuomba Diamond amsaign katika lebo yake ya WCB.

Baba levo amesimulia kuwa Marioo alienda na S2kizzy kwa Diamond na wakajifungia usiku wa maneno akimuomba Diamond amsign katika lebo yake.

Mahojiano yote ya Baba levo na @el_mando_tz yapo katika akaunti ya YouTube ya Bongofive, nenda kafahamu kila kitu kilivyokuwa mpaka kufikia hapa.

Mbali na hivyo Mwijaku amemtahadharisha Marioo na Kumwambia kuwa lengo la Diamond na kumtoa kwenye focus yake ya muziki kwahiyo ame makini sana.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents