Burudani

Mwijaku amuomba Msamaha Masoud Kipanya kwa kile alichokiongea kibaya juu yake (Video)

Mtangazaji mpya ww Crown Media Mwijaku amemuomba radhi Mtangazaji wa Clouds Media Masoud Kipanya kwa kile alichokiongea.

Mwijaku baada ya kuondoka Clouds Media na kuhamia Crown Masoud Kipanya alitoa maoni yake ambayo yalionekana kumkera Mwijaku.

Baada ya Masoud kuongea Mwijaku aliandika ujumbe mbaya mitandaoni kuhusu Masoud Kipanya.

Leo hii akiongea na wana habari ametumia fursa hiyo kumuomba Radhi Maspud Kipanya.

Video mzima ipo YouTube ya Bongofive

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents