Burudani

Ni kweli Madonna ndiye msanii mwenye ushawiishi zaidi Duniani??

  • KUNA MASTAA WANA NGUVU YA USHAWISHI DUNIANI HALAFU KUNA NGUVU YA MADONNA ILIYOWEKA REKODI BRAZIL.

    Iko hivi Malkia wa Pop duniana Madonna ameweka rekodi yake ya kipekee duniani kwa kufanya Tamasha kwenye Ufukwe wa Copacabana huko Rio de Janeiro nchini Brazil.

    Madonna ameweka rekodi ya kipekee duniani kwa kujaza zaidi ya watu milioni 1.6 kwenye Tamasha moja ingawa hakukuwa kiingilio.

    Madonna hakuwahi kufanya Show Brazil kwa zaidi ya miaka 10 na alipofika imekuwa kama hajawahi kutokea.
    Tamasha hilo lilikuwa la mwisho katika ziara yake ya The
    Celebration Tour

    Hizi fukwe za Copacabana ni miongoni mwa fukwe kubwa duniani kwa kujaza watu wengi na maarufu zaidi duniani.

    Kwa mfano liandaliwe Tamasha la bure pale kwenye Fukwe za Coco jijini Dar Es Salaam unahisi msanii gani atafanikiwa kujaza fukwe hizo??

     

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Imeandikwa na Mbanga B.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents