Michezo

Nunez awakataa Liverpool mazima

Mshambuliaji wa klabu ya Liverpool FC Raia wa Uruguay Darwin Nunez amefuta picha zote akiwa na jezi ya Liverpool FC kwenye ukurasa wake wa Instagram, sababu kubwa ni maneno ya ukosoaji unaoendelea kutoka kwa mashabiki wa timu hiyo juu yake.

Kitendo hiki kinaacha maswali ya ziada kuhusu mustakabali wa Staa huyo kuelekea msimu ujao ndani ya kikosi cha majogoo wa Jiji.

 

 

 

 

 

 

 

Imeandikwa na Mbanga B.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents