Burudani

Penzi kati ya Selena Gomez na The Weeknd imebaki stori

Ni kama miezi kumi toka tumuone Selena Gomez na mpenzi wake The Weeknd aliyerithi mikoba ya Justin Bieber katika mahaba ila kwa sasa penzi  la wawili hao imebaki stori.

Vyanzo vya karibu zimeeueleza mtandao wa People kuwa wawili hao waliwahi kuachana kwa muda ila wakarudiana na sasa huwenda ndio ikawa mwisho. Kwani Selena amekuwa akijaribu kuwa karibu hata kwenye matamasha ya mpenzi wake ila Abel(The Weeknd) haonyeshi ushirikiano.

‘Always made an effort” to attend his shows when she could, “that played a part in them getting distant,” adds the insider. “It’s over for now, but they’re still in touch,” kimeleza chanzo hicho kikimkingia kifua Selena.

Siku chache zilizopita Selena na Justin Bieber walinaswa na kamera za TMZ wakiwa katika mgahawa wa maeneo ya Westlake Village, California -Marekani jambo linaloashiria huwenda wamerudiana. Selena na Justin Bieber wamekuwa katika mahusiano ya kimapenzi toka mwaka 2011-2015 walipoachana ila wawili hao bado wanaonyesha hali ya kutamaniana mara kwa mara.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents