Habari

Rais Magufuli awakanya viongozi wa dini

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.  Dkt. John Pombe Magufuli amewataka viongozi wa dini na waumini nchini kujiepusha na migogoro mbalimbali ambayo imekuwa ikiharibu sifa na heshima ya taasisi hizo za dini.

Rais Magufuli akimpongeza Askofu wa Tano wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es salaam, Jackson S. Jackson

Rais Magufuli amesema hayo leo Februari 4, 2018 alipo hudhuria ibada ya kuwekwa wakfu kwa Askofu wa tano wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es Salaam.

Soma taarifa;

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents