Habari
Rais Samia aguswa na kifo cha mtoto mdogo
![](https://bongo5.com/wp-content/uploads/2024/06/Screenshot-2024-06-18-at-13.27.04.png)
Rais wa Samia amesikitishwa na kifo cha mtoto mwenye ulemavu wa ngozi kilichotokea wiki hii ambapo mwili wake uliokotwa baada ya kupotea kwa siku chache.