Habari

Rais Trump afanya ziara ya kihistoria nchini Korea Kaskazini (+Video)

Leo Jumapili Juni 30, 2019, Rais wa Marekani, Donald Trump ameanza ziara yake ya kihistoria ya siku moja nchini Korea Kaskazini na kupolelewa na mwenyeji wake ambaye ni kiongozi wa taifa hilo, Kim Jong Un.

Ziara hiyo yenye lengo la kuimarisha mahusiano kati ya taifa hilo na Marekani, Imeibua maswali mengi kwa baadhi ya wanaharakati wanaodai kuwa Kim ni dikteta na amekuwa akiwatesa wananchi wake.

Ziara hiyo ya siku moja, Inamfanya Rais Trump kuweka rekodi ya kuwa Rais wa kwanza wa Marekani kukanyaga katika ardhi ya Korea Kaskazini.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents