Burudani

RECAP: Alikiba anastahili kutumbuiza matamasha makubwa Duniani?? (Video)

Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz ameizungumzia Show ya Alikiba ya Canada.

Anasema kuwa ukitaja wasanii wakubwa barani Afrika huwezi kuacha kumtaja Alikiba lakini pia ukitaja wasanii wakubwa ambao hawajawahi kutumbuiza kwenye Matamasha makubwa pia Alikiba yupo.

@el_mando_tz anasema Alikiba ana kila sifa za kutumbuiza kwenye majukwaa makubwa duniani na Afrika lakini hakuwahi ukiacha One Music Festival ambayo aliwahi kuifanya London mwaka 2017

Anauliza kwa unavyoona kwanini Alikiba hajawahi kutumbuiza kwenye Matamasha makubwa?? Kuna futna kubwa??

Unakubaliana na @el_mando_tz kwa asilimia ngapi??

Uchambuzi mzima upo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.

Host: @el_mando_tz
Cameraman: @samirkakaa

 

 

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents