Bongo5 ExclusivesBongo5 MakalaBurudaniDiamond Platnumz

RECAP: Diamond amfungulia milango Jux Kimataifa, amemheshimisha (Video)

Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz amezungumzia namna Msanii Jux anavyoanza kutanua wigo Kimataifa.

Ndani ya mwaka huu 2024 Jux kafanya show nyingi sana Kimataifa, Ameenda China, Kenya, Dubai akiwa na Diamond lakini pia Qatar.

Mbali na hilo Jux amefanya Show Rwanda mara mbili ndani ya mwaka huu na hii yote ni matunda ya ngoma yake ya Enjoy aliyomshirikisha Diamond Platnumz.

@el_mando_tz anasema Diamond ndio kamfungulia milango Jux Kimataifa kwa sababu baada ya kumpa Collabo alianza kimpeleka kwenye baadhi ya Show zake Kimataifa.

@el_mando_tz anasema kilichobaki ni Jux kujiongeza kwenye upande wa kutafuta collabo zingine kubwa za Kimataifa.

Unakubaliana na @el_mando_tz kwa asilimia ngapi??

Uchambuzi mzima upo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Imeandikwa na Mbanga B.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents