Bongo5 ExclusivesBurudani

RECAP:Idris Sultan azua taharuki Mafanikio, Cheni vyazua Gumzo, Matangazo, Netflix?? (Video)

kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando__tz amezungumzia kuhusu Idris Sultan kutajwa kuwa Freemason.

Kwenye Mitandao ya Kijamii mjadala ulikuwa kuhusu Cheni anayovaa Idris Sultan ya Devil Eyes Cheni ambayo watu wengi wanaamini inatumiwa na watu wenye imani Freemason.

Lakini pia wengine wakiamini mafanikio wa Idris Sultan ya kufanya kazi na Netfilix, Ubalozi anaoupata na ndio ana balozi nyingi zaidi wanadai kuwa amezipata kwa kazi gani??

amechambuzi kuhusu mafanikio yq Idris Sultan kikazi nq naman alivyojitengenezea Thamani nje ya mipaka yq Tanzania.

Anaongeza kuwa Ushindi wa Idris BIG BROTHER AFRICA 2014 haukuwa tu kwa ajili ya pesa bali hta Connection alizopata nje ndio zinamsaidia leo.

anasema Idris Sultan ana Ubalozi kwa makapuni tofauti 8 kitu ambacho hakuna msanii Tanzania anayo matangazo kama hayo.

anasema vijana wanaoamini kuwa mafanikio ya mtu yanaletwa na Imani za kishirikina au Freemason wana Metality za Kimasiki na ni ngumu sana kufanikiwa kimaisha.

Unakubalina na @el_mando_tz kwa asilimia ngapi??

Uchambuzi mzima upo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.

 

 

 

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents