BurudaniHabari

RECAP: Jay Melody alivyotisha kwenye Mapoz na Formula ya Joh Makini

Kupitia kwenye kipindi cha RECAP & MANDO @el_mando_tz amzungumzia namna msanii @realjaymelody alivyopewa heshima kubwa na wakubwa zake kwenye collabo ya Mapoz na Formula.

Wengi wameanza kuuliza maswali na kutaka kujua Jay Melody kafanya vizuri kwenye collabo ipo.

Jibu ni kwamba Jay Melody amefanya vizuri kwenye collabo zote mbili.

Mpaka sasa Jay Melody ameanza vizuri mwaka baada ya kupewa heshima ya kushirikishwa kwenye nyimbo mbili na kaka zake.

Kwa upande wake Jay Melody katisha kwenye ngoma ipi kati ya Mapoz na Formula ya @johmakinitz ??

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents