Bongo5 ExclusivesBurudani

RECAP: Roma kukosoa Serikali ni kosa, Mapungufu ya Album yake (Video)

Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz ameizungumzia album mpya ya Roma Mkatoliki ya NIPENI MAUA YANGU.

@el_mando_tz amezungumza mengi kuhusu Album hiyo na baadhi ya Ujumbe kwenye ngoma kadhaa akieleza matatizo yaliyopo kwenye jamii kupitia nyimbo zake.

Album hiyo ina wasanii 15 walioshirikishwa katika ngoma 15 na ngoma moja tu ndio haina Collabo lakini pia ngoma 12 ni mpya hazikuwahi kusikika popote.

Kwenye album hiyo kuna wakali kama Nay Wa Mitego, AY, Goz B, Dogo Janja na wengine.

Unakubaliana na @el_mando_tz kwa asilimia ngapi??

Uchambuzi mzima upo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Imeandikwa na Mbanga B.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents