BurudaniHabari

RECAP: Young Lunya ameshuka kimuziki baada ya kusainiwa Sony

Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz amezungumzia mabishano ya Young Lunya na Moni Centro zone mitandaoni yana Impact gani kwenye Hip Hop?? Anasema licha ya wao kubishana mitandaoni kwa tukubali kuwa kwenye muziki wa Hip Hop Quality ya muziki imeshuka kwa asilimia kubwa sana.

 

@el_mando_tz ametaja baadhi ya sababu zikiwemo kuwa mashairi ya siku hizi asilimia kubwa yakekuwa laini sana na pia Wana Hip Hop hawafanyi muziki wa Kibiashara.

Anaongeza kuwa mpaka sasa wengi wao bado wanafanya muziki wa mazoezi sana, wasanii wa Hip Hop Tanzania hawataki kukubaliana na ukweli kwamba wawndanae na mabadiliko ya kimuziki duniani ambapo inaendana na Kibiashara.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents