Burudani

Rhino amkaribisha Harmonize Kanisani kwao (Video)

Msanii wa nyimbo za Gospel, @uelewa_wa_sauti ambaye wengi walimfahamu kama Rhino wakati akiimba Bongo Fleva ametoa mtazamo wake kuhusu kauli ya @harmonize_tz kusema Mungu ni Mwanamke.

Rhino amkaribisha kujiunga na KANISA HALISI LA MUNGU ambalo ndio yeye anasali huko lakini ameongeza kuwa kwa sababu Miungu ni wengi huenda Mungu aliyekuwa Harmonize anamuabu ni Mwanamke.

Mahojiano yote yapo kwenye akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.

 

 

 

 

 

 

 

Imeandikwa na Mbanga B.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents