Bongo5 ExclusivesBurudaniHabariMahojiano

Sallam Sk ataka pambano na Mandonga, ngumi yangu inaitwa DALUSO

Meneja wa @diamondplatnumz @sallam_sk ameamua kumjibu bondia @k_mandonga baada ya kutopendezwa na namna @k_mandonga anavyoendelea kumuongelea baada ya kumpa ushauri.

Kupitia post ya kipindi cha Recap na Mando cha @bongofive ambapo @k_mandonga alisema kuwa yeye amembadili jina @sallam_sk na kuamua kumuita Sallama kisa ushauri wa @sallam_sk @sallam_sk ame-comment na kusema anamtaka Mandonga mtu kazi ulingoni pia ameongeza ushauri wake haukuwa mbaya.

Wakatu wa pambano la @k_mandonga la Kenya @sallam_sk alimshauri @k_mandonga kuwa aangalie asisindikize watu kwenye utajiri baada ya jina lake kuwa kubwa zaidi.

@sallam_sk amesema kuwa anaomba wadhamini wajitokeze yeye yupo tayari kwa pambano na @k_mandonga na NGUMI yake INAITWA DALUSO.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents