Michezo

Sijui nini kimemkuta Chama – Ahmed ally

“Hadi sasa mimi kama Msemaji bado sijapata uhalisia wa kipi kinaendelea kama ameongezewa mkataba au viongozi wameamua aondoke ama mazungumzo bado yanaendelea,” . “Likishamalizika kwa ngazi ya juu, uongozi unanipa taarifa au watatoa taarifa na Wanasimba wapate kufahamu kipi kinaendelea juu ya Mwamba wa Lusaka. Tuwe wapole ndugu zangu hadi Jumatatu (leo) tutajua kinachoendelea,” Ahmed Ally.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents