Habari

TANZIA: Mchungaji wa Kanisa la Moto Mama Rwakatare afariki dunia, Haya ni mahojiano yake ya mwisho na Bongo5 – Video

TANZIA: Mchungaji wa Kanisa la Moto Mama Rwakatare afariki dunia, Haya ni mahojiano yake ya mwisho na Bongo5 - Video

Mchungaji wa Kanisa la Mlima wa Moto na Mbunge wa viti maalum CCM, Askofu Gertrude Rwakatare amefariki Dunia alfajiri ya leo ya April 20, 2020,

Mtoto wake Muta Rwakatare amethibitisha, tutawaletea taarifa zaidi kadri tutakavyoendelea kuzipata. ‘Marehemu Mama Rwakatare, enzi za uhai wake, kwenye mahojiano ya mwisho tuliyofanya naye, na chombo cha Bongo5.

Hapa alikuwa Alikuwahimiza Watanzania kuwa Corona haiwezi kuwa kubwa kumshinda Mungu hivyo cha kwanza tumuamini Mungu na kumtegemea katika kila jambo
Mbali na hilo alimpongeza Rais Magufuli kwa maamuzi yake kuhusu Corona#RIPRWAKATARE

https://www.youtube.com/watch?v=hl6vJjpiRDA

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents