Habari
Tazama Rais Magufuli alivyotoa heshma za mwisho kwenye msiba wa dada yake Mch. Msigwa, Amuita Mhe. Lema wasalimiane (+video)
Tazama Rais Dkt. Magufulialivyowasili Kimara kwenye msiba wa dada yake na Mbunge wa Iringa Mjini, Peter Msigwa, Tryphosa Simon Sanga.
Rais Magufuli akiwa msibani hapo alikutana na Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema na kusalimiana na wafiwa.