Burudani
Team kubwa ya Cheka tu kukiwasha Musoma
![](https://bongo5.com/wp-content/uploads/2024/05/Screenshot-2024-05-21-at-23.03.26.png)
Team kubwa ya standUp commedy ya @cheka.tu wamezungumza na waandishi wa habari kubwa zaidi ni kuhusu kuelekea show yao stand up comedy linalotarajiwa kufanyika tarehe 22/06 Mkoani Mara Musoma
Wakazi wa musoma balaa hii hapa la @txdullah @ndaro__ @jolmaster @leonardo_comedy_official @coy_mzungu na wengine wanakuja kukuvunja mbavu mkae mkao wa kucheka tu
Video nzima ipo katika Youtube channel yetu ya Bongo5
Written by @abbrah255 and @el_mando_tz