Burudani

Video: Baada ya kumtolea uvivu Diamond, Bob Junior kuachia ngoma

Msanii wa muziki Bongo Bob Junior baada ya kueleza kutofurahishwa na kitendo cha Diamond Platnumz  kwa kudai kuwa wana kolabo, kitu ambacho kimepingwa na msanii huyo ambaye amedai kuwa atatoa ngom yake mpya wakati wowote.

Akiongea na Bongo5 msanii huyo ameeleza kuwa  kutokana na kueli kwa kolabo hiyo iliyotangazwa kwa muda mrefua basi yeye kama yeye ameamua kuja kwa staili yake hivyo ataachia ngoma yake mpya yenye hadhi ya kimataifa.

“Natarajia kuachia video ya ngoma yangu mpya ya ‘Give Me’ yenye hadhi ya kimataifa yani huko utakutana na viuno vyote vyote hadi viuno mbatata,” amesema msanii huyo.

Pia akaongeza kuwa “Sasa amejipanga na baada ya ngoma hiyo anatarajia kutoa ngoma nyingine na nina albamu mbili zinakuja.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents