Habari

Vilio vyatanda Wamachinga Mwanza, wamuomba Rais Samia Suluhu awasaidie (+ Video)

Machinga zaidi ya 5,000 waliopo katika eneo la Makoroboi jijini Mwanza licha ya kutii agizo la Mkuu wa Mkoa huo Mhandisi Robert Gabriel la kuwataka kupisha katika eneo hilo wamemlilia Rais Samia kwani wamevunja vibanda vyao na hawana eneo mbadala la kufanyia biashara zao.

Kwa mujibu wa Eatv.Tv. Machinga hao ambao walioamua kutii agizo hilo huku wakisema hawajui wapi wanaelekea baada ya maeneo waliyopangiwa kujaa, kilio chao wanakielekeza kwa Rais Samia Suluhu Hassan.

Hapo jana Mkuu wa Mkoa huo Mhandisi Robert Gabriel jana Oktoba 21, 2021, alitoa muda wa saa 24 kwa wafanyabiashara ndogo ndogo wa eneo hilo kuondoka na kwenda kwenye maeneo rasmi waliyotengewa.

Bofya hapa chini kutazama.

 

https://www.instagram.com/p/CVXJLKbDkW6/

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents