Burudani

Wasafi Festival yaja kimataifa zaidi, Diamond Platnumz aipendelea Kenya ‘Tz najua mnashauku kubwa’

Baada ya kimya kirefu kuhusu ratiba ya tamasha la Wasafi Festival, hatimaye Diamond Platnumz na uongozi wake wameanza kutoa dondoo za tamasha hilo ambapo ratiba inaonesha litahitimishwa nchini Kenya Desemba 31, 2018 .

Diamond kupitia ukurasa wake wa Instagram amedai kuwa, tamasha hilo litahusisha nchi zaidi ya moja na kuahidi kutoa ratiba muda mfupi ujao.

“KENYA!!! KENYA!!!! Jus to let you know that, Ikitokea Tanzania na nchi zitazotajwa tareh 31 DEC#WasafiFestival 2018 itakuwa inahitimishiwa Jijini #NAIROBI… TANZANIA!!!! najua mnashauku kubwa…. kaa hapa hapa na mimi details zenu zaja”

Hata hivyo, bado haijajulikana kabisa ratiba ya Tanzania ambapo maelfu ya watu wanasubiri ratiba hiyo itangazwe.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents