Burudani

Wasanii wa Bongo Fleva hawana hofu na Mungu – Steve Nyerere (+video)

Muigizaji wa Filamu nchini Tanzania, Steve Nyerere amesema kuwa wasanii wengi hususani wa Bongo Fleva hawana hofu na Mungu hao wanachoogopa ni kuporomoka kwa vipaji vyao.

Steve amesema hayo kwenye mahojiano yake na Bongo5 wakati akizungumzia sakata la wasanii wengi wa muziki kushindwa kuhudhuria kwenye msiba wa Sam wa Ukweli kitu ambacho amekieleza kama ni ukosefu wa umoja baina ya wasanii hao.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents