Michezo

Watatu tu wenye Uhakika wa kubaki Man United msimu Ujao

Tajiri mpya wa Klabu ya Manchester United Sir Jim Ratcliffe anaelezwa kutaka kukibadilisha kwa ukubwa kikosi cha sasa cha klabu hiyo huku ikielezwa wachezaji watatu pekee ndio wenye uhakika wa nafasi msimu ujao.

Wachezaji hao ni Kobbie Mainoo, Alejandro Garnacho na Rasmus Hojlund.

Taarifa zinasema baada ya vikao kadhaa vilivyofanyika, viongozi wa klabu hiyo kubwa Duniani wamebariki na wako tayari kwa mabadiliko makubwa ya kikosi.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Imeandikwa na Mbanga B.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents