Burudani

Will Smith na Mkewe wakana madai ya Tyrese

Sio Bongo tu! hata mbele haya mambo yapo mtu kujariu kudanganya ili mambo yaweze kwenda fresh kwa upande wake.

Muigizaji Will Smith na mkewe Jada Pinkett Smith, wamekana vikali madai yaliyotolewa na muigizaji Tyrese kuwawalimpatia kiasi cha dola milioni 5 kwa ajili kukaa mbali na mitandao pamoja na kesi aliyonayo juu ya mtoto wake.

Kupitia mtu wa karibu wa familia ya Smith ameueleza mtandao wa TMZ kuwa alichodai na kuandika Tyrese siku ya Jumapili katika mtandao wa Instagram hakina ukweli wowote.

“You’ve guys asked me to get off and stay off the Internet now that my daughters legal fees will be paid. I will listen,” aliandika Tyrese siku chache zilizopita.

Will, Jada na Tyrese wamekuwa marafiki kwa miaka sasa ila familia hiyo ina hofu juu ya afya aliyonayo Tyrese, amesema mtu huyo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents