Habari

Zitto Kabwe,Mama Mongera Kwenye Kumbukumbu ya Chifu Mwami

ZITTO KABWE,MAMA MONGERA KWENYE KUMBUKUMBU YA CHIFU MWAMI WA KIGOMA

Viongozi mabalimbali wakiwemo wadau wa siasa Nchini wameshiriki kwenye maadhimisho ya kumuenzi aliyekuwa Chifu wa kwanza Mwanamke Tanzania  Mwami Theresa ukumbi wa Makumbusho ya Taifa Posta Jijini Dar es salaam ambapo katika hilo baadhi ya Viongozi akiwemo Zitto Kabwe wamefunguka kuwa jambo hilo linalinda historia hususani kwa jamii ya Waha Mkoani Kigo

 

Written by @abbrah255 and @el_mando_tz

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents