Burudani

Alikiba athibitisha kinywaji chake cha Mofaya kuanza kupatikana Dar Es Salaam rasmi

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Ally Salehe Kiba alimaarufu Alikiba leo amethibitisha kuwa kinywaji chake cha Mofaya kuanza kupatikana katika mkoa wa Dar Es Salaam.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Kiba amefunguka na kutaja maeneo ambayo kitakuwa kinapatikana huku akiwaambia watu wa mikoani wakae mkao wa kula maana kinywaji hicho kitasambaa nchini Nzima.

“Sasa Mofaya Energy Drink zimeanza kupatikana jijini Dar es Salaam kwa Mawakala Wakuu (main Distributors) :- :
Unaweza kuwasiliana nao kulingana na maeneo wanayopatikana.
:
Manzese. Magomeni. Ubungo. 0762841318 | 0717009035
:
Tabata. Ukonga. Segerea – 0717646022
:
Mbezi. Tegeta. Kawe. Mwenge. Salasala 0673207256
:
Kariakoo 0656990000| 0754990000| 0715629674
:
Kwa wateja wote wa rejareja mnaweza kuwasiliana na wakala wakuu kwenye number hizo . Mikoani kaeni tayari tunakuja karibuni, tunachukua order kutoka kwa wakala wakuu ( Distributors) kwenye number hiii 0755 333 302
#mofayabyalikiba”

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents