Burudani

Alikiba, Rayvanny watumiwa salamu za vitisho na Mkali Wenu (+video)

Muigizaji na mchekeshaji, Mkali Wenu amesema mwakani 2019 ndio mwaka wake wa kufanya mapinduzi kwenye kiwanda cha muziki kwani tayari kwenye komedi ameshafanya vizuri kwa mwaka huu.

Mkali Wenu kupitia mahojiano aliyofanya na Bongo5, amewataja baadhi ya wasanii kama Alikiba na Rayvanny kuwa wakae mkao wa utayari kwani mwakani ana lengo la kuanza muziki rasmi.

Mkali Wenu kwa mwaka huu amefanikiwa kuachia ngoma kadhaa ikiwemo Kangaroo na Wanaume wa Dar.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents