Burudani ya Michezo Live

Aliyekuwa Waziri wa Viwanda Idd Simba apoteza maisha, Makamu wa Rais ato pole kwa familia yake – Video

Aliyekuwa Waziri wa Viwanda Idd Simba apoteza maisha, Makamu wa Rais ato pole kwa familia yake - Video

Aliyewahi kuwa Waziri wa Viwanda na Biashara katika serikali ya awamu ya tatu, Iddi Simba amefariki dunia leo. Taarifa zilizothibitishwa na mtoto wake, Sauda Simba Kilumanga zinasema Iddi Simba amefariki katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) alipokuwa akipatiwa matibabu.

WAkati akiongea kwenye sherehe za CCM mkoa wa Dar Es Salaam akiwa kama mlezi wa chama hicho Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassa aliwatangazia Watanzania kuwa Idd Simba amepoteza maisha na kutoa pole.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW