Askofu Pengo ayataka makanisa kutoshindana kumtumikia Mungu
Habari

Askofu Pengo ayataka makanisa kutoshindana kumtumikia Mungu

Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo ametoa wito kwa makanisa kutoshindana…
Video: Style 3 mwanamke anaweza kutengeneza nywele asili (By Rehema Samo)
Mitindo

Video: Style 3 mwanamke anaweza kutengeneza nywele asili (By Rehema Samo)

Kwa wanawake, urembo ni kitu muhimu zaidi katika maisha yao. Stylist maarufu nchini, Rehema Samo, ameungana na mtangazaji wa kipindi…
Fahamu madhara yatokanayo na utumiaji wa dawa za kupunguza uzito
Habari

Fahamu madhara yatokanayo na utumiaji wa dawa za kupunguza uzito

Kwa watu wanaohitaji kupunguza uzito, diet supplements huonekana kama NJIA YA MAAJABU. Na kwakufahamu hilo watengenezaji wake wamekuwa wakiwaahidi watumiaji…
Yaliyojiri kwenye kesi ya Maxence Melo mahakamani Kisutu
Habari

Yaliyojiri kwenye kesi ya Maxence Melo mahakamani Kisutu

Kesi inayomkabili Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Jamii Media, Maxence Melo iliyokuwa isikilizwe Jumatatu hii katika Mahakama ya Hakimu Mkazi…
Wajasiriamali wa kike Dodoma walalamika kuombwa ‘uroda’ ili wapewe vibanda vya biashara
Habari

Wajasiriamali wa kike Dodoma walalamika kuombwa ‘uroda’ ili wapewe vibanda vya biashara

Serikali mkoani Dodoma imeombwa kuingilia kati mgogoro katika soko lisilo rasmi la Rehema Nchimbi kutokana na malalamiko ya wajasiriamali wanawake…
Magari ya Serikali yenye makosa kutozwa faini
Habari

Magari ya Serikali yenye makosa kutozwa faini

Kamanda wa Polisi Kikosi cha usalama Barabarani, Mohamed Mpinga amesema kumekuwepo na malalamiko mengi kuwa magari ya serikali yanapendelewa hivyo…
Ofisi ya CUF Zanzibar yavamiwa
Habari

Ofisi ya CUF Zanzibar yavamiwa

Watu wasiojulikana maarufu kama (mazombi) wameivamia ofisi ya Chama cha Wananchi (CUF) katika Jimbo la Dimani wilaya ya Magharibi B.…
Soka Ulaya: Real Madrid yanyukwa na Sevilla, Man City hoi kwa Everton
Michezo

Soka Ulaya: Real Madrid yanyukwa na Sevilla, Man City hoi kwa Everton

Vinara wa ligi kuu ya Hispania, Real Madrid walionja shubiri ya kupoteza mchezo baada ya kuambulia kichapo cha mabao 2-1…
Video: Tazama show ya Diamond kwenye ufunguzi wa AFCON 2017
Videos

Video: Tazama show ya Diamond kwenye ufunguzi wa AFCON 2017

Jumamosi hii Diamond Platnumz na dancers wake, akishirikiana na wasanii wengine akiwemo Mohombi na Lumino, walitumbuiza kwenye ufunguzi wa kombe…
Chelsea yapeta bila Diego Costa
Michezo

Chelsea yapeta bila Diego Costa

Vinara wa ligi kuu ya England, Chelsea waliendelea kujikita kileleni kwa kuwachakaza mabingwa watetezi Leicester City kwa mabao 3-0 bila…
New Video: MD Plant – Lunch Time
Burudani

New Video: MD Plant – Lunch Time

MD Plant ameachia video ya wimbo wake Lunch Time. Video imeongozwa na Steve Man Rizo.
Mbarawa aibana Swissport Tanzania, aipa miezi miwili
Habari

Mbarawa aibana Swissport Tanzania, aipa miezi miwili

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa ametoa miezi miwili kwa kampuni ya Swissport Tanzania kuhakikisha inaboresha huduma…
Mhadhiri chuo kikuu akamatwa na TAKUKURU kwa kuomba rushwa ya ngono
Habari

Mhadhiri chuo kikuu akamatwa na TAKUKURU kwa kuomba rushwa ya ngono

Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU), Mkoa wa Kinondoni inamshikilia Mhadhiri Msaidizi wa Chuo cha Taifa cha Usifirishaji…
Bodi ya Mikopo: Tunaanza kukata 15% ya mshahara kwa wadaiwa kuanzia mwezi huu
Habari

Bodi ya Mikopo: Tunaanza kukata 15% ya mshahara kwa wadaiwa kuanzia mwezi huu

Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu imearifu kutakuwa na ongezeko la makato katika mishahara ya watumishi waliofaidika na mikopo…
Jeshi la Polisi Dar lapiga marufuku uuzwaji wa silaha za jadi barabarani
Habari

Jeshi la Polisi Dar lapiga marufuku uuzwaji wa silaha za jadi barabarani

Jeshi la Polisi kanda maalum ya Dar es salaam limepiga marufuku uuzwaji holela wa silaha za jadi kama mapanga, mishale,…
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents