Barua ya wazi kwa Darassa: How you can capitalize on your music success
Burudani

Barua ya wazi kwa Darassa: How you can capitalize on your music success

Dear Darassa, Kwanza kabisa ningependa nichukue nafasi hii kukupongeza kwa mafanikio makubwa ya single yako ya Muziki, kiukweli ni nyimbo…
Chama cha wafugaji chalaani tukio la kuchomwa mkuki mkulima
Habari

Chama cha wafugaji chalaani tukio la kuchomwa mkuki mkulima

Chama cha wafugaji nchini, kimelaani vikali kitendo cha mfugaji kujichukulia hatua na kumchoma mkulima mmoja aliyejulikana kwa jina la Augustino…
Mwalimu anaswa akiishi na mwanafunzi kama mume na mke
Habari

Mwalimu anaswa akiishi na mwanafunzi kama mume na mke

Wananchi wa katika kijiji na kata ya Guta, wilaya ya Bunda mkoani Mara, wamelalamikia vitendo vinavyofanywa na baadhi ya walimu…
Bodi ya mikopo ya elimu ya juu kuanzisha kikosi cha kuwanasa wadaiwa sugu
Habari

Bodi ya mikopo ya elimu ya juu kuanzisha kikosi cha kuwanasa wadaiwa sugu

Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), Abdul Razaq Badru ameunda kikosi maalumu (Task…
Chuo cha kimataifa cha marubani kujengwa Mbeya
Habari

Chuo cha kimataifa cha marubani kujengwa Mbeya

Chuo cha kimataifa cha marubani nchini kinatarajiwa kujengwa katika kiwanja kidogo cha ndege kilichopo katikati ya jiji la Mbeya. Mwakilishi…
Arusha: Amuua mwenzie wakigombea soda
Habari

Arusha: Amuua mwenzie wakigombea soda

Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linamshikilia mkazi wa Olasiti, jijini Arusha, Hamisi Amani (17), kwa tuhuma za kumuua mwenzake…
Profesa Mbarawa akumbusha kampuni za mawasiliano kujisajili soko la hisa
Habari

Profesa Mbarawa akumbusha kampuni za mawasiliano kujisajili soko la hisa

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, amezitaka Kampuni za Mawasiliano kukamilisha taratibu za usajili katika Soko la…
Chidi Benz: Ni moyo na maamuzi yake pekee yaliyobaki kumnyanyua alikoanguka
Burudani

Chidi Benz: Ni moyo na maamuzi yake pekee yaliyobaki kumnyanyua alikoanguka

Kuna mtaalamu wa masuala ya falsafa aliwahi kusema, ‘Yai linapopasuliwa kutoka nje huwa mwisho wa uhai kwa kiumbe kilichopo ndani,lakini…
Mwanafunzi ajeruhiwa na risasi kichwani
Habari

Mwanafunzi ajeruhiwa na risasi kichwani

Mwanafunzi wa kidato cha pili wa shule ya sekondari Mringa, Vanessa Josephat [16] mkazi wa Sakina jijini hapa amejeruhiwa vibaya…
Zitto Kabwe na mkewe wapata mtoto wa kike
Habari

Zitto Kabwe na mkewe wapata mtoto wa kike

Mwenyekiti wa chama cha ACT wazalendo, Zitto Kabwe amefanikiwa kupata mtoto wa kike. Mtoto huyo amezaliwa saa 1 na dakika…
Top African songs of 2016 – Anyiko’s Top 10
Burudani

Top African songs of 2016 – Anyiko’s Top 10

As 2016 comes to an end, I am happy to reflect on some of the songs that collectively made my…
Hili ni ombi la Rais Magufuli kwa Watanzania mwaka 2017
Habari

Hili ni ombi la Rais Magufuli kwa Watanzania mwaka 2017

Rais wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amewaomba Watanzania wote kuutunza na kuudumisha umoja katika mwaka 2017 huku akiwataka kufanya…
Serikali kuendelea kutoa dawa za kutibu sumu ya nyoka
Habari

Serikali kuendelea kutoa dawa za kutibu sumu ya nyoka

Serikali imesema itaendelea kutoa dawa zinazotibu sumu ya nyoka ili kupambana na tatizo hilo nchini. Kauli hiyo ya serikali ilitolewa…
Madaktari wamuokoa mkulima aliyechomwa mkuki mdomoni na kutokea shingoni
Habari

Madaktari wamuokoa mkulima aliyechomwa mkuki mdomoni na kutokea shingoni

Kuna msemo usemao hakuna aijuae kesho yake, huku wengine husema kesho ni fumbo hii imetokea mjini Morogoro kwa mkulima na…
Presha ya Christmas: SUMATRA waruhusu daladala kusafirisha abiria Moshi na Arusha
Habari

Presha ya Christmas: SUMATRA waruhusu daladala kusafirisha abiria Moshi na Arusha

Mamlaka ya udhibiti wa usafiri wa nchi kavu na majini SUMATRA wamelazimika kuruhusu magari madogo maarufu (daladala) kwenda mikoa mbalimbali…
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents